DR.DENT™ Purple Whitening Strips
DR.DENT™ Purple Whitening Strips
Vutia kila mtu kwa tabasamu lako. Dakika 30 tu zinatosha kufuta madoa ya njano na kukupa mng'ao wa kishua papo hapo.
"Sikutegemea matokeo ya haraka hivi! Nimetumia hizi strips za zambarau kwa siku chache tu na meno yangu yamekuwa meupe sana, yanang'aa kama ya mastaa wa Hollywood. Kinachonifurahisha zaidi ni kwamba sasa napata pongezi kila ninapoongea na watu. Imeniongezea ujasiri wa kiwango kingine kabisa. Siwezi kuacha kujiangalia kwenye kioo!"
Siri Ya Tabasamu Linalovutia Na Kuleta Heshima
Unaweza kuvaa nguo za bei ghali au kuendesha gari zuri. Lakini kabla hata hujatamka neno, watu wanaangalia jambo moja kwanza: meno yako.
Tabasamu jeupa linalong'aa huleta heshima. Linaleta picha ya ujasiri, afya, na mara moja linapandisha hadhi yako popote ulipo. Kwa upande mwingine, meno ya njano yenye madoa yanaweza kukufanya uonekane mzee na usiyejali usafi, haijalishi umependeza kiasi gani.
Hii ndiyo siri isiyozungumzwa kuhusu hisia za kwanza (first impressions).
Meno yako yakiwa meupe, unaongea kwa kujiamini. Unacheka kwa uhuru. Unawavutia watu kirahisi. Ni wakati wa kupata heshima unayostahili.
Unadhani kusugua kila siku kunayafanya yawe meupe? Sio kweli.
Dawa yako ya meno inasafisha. Inaua bakteria. Inalinda fizi. Lakini HAING'ARISHI.
Chai ya kila siku. Kahawa. Miaka ya maisha ya kila siku. Madoa ya njano yanakaa ndani kabisa ya jino. Yanajijenga tabaka kwa tabaka, na mswaki wako unapita tu juu yake.
Unadhani kusugua kwa nguvu kutasaidia? Acha. USIJARIBU kusugua kwa nguvu na mswaki. Unaharibu tu meno yako na kufanya fizi zitoke damu BURE. Madoa haya yapo ndani, sio kwa nje.

Kwa Nini Hii Inafanya Kazi?
Siri sio "bleaching" inayoumiza. Ni sayansi ya kurekebisha rangi (color correction) ikijumuishwa na uvunjaji wa madoa. Hii ndio sayansi nyuma ya Purple Whitening Strips™.
Kwenye mpangilio wa rangi, zambarau iko kinyume kabisa na njano. Mara tu strip inapogusa meno yako, rangi ya zambarau inafuta ile njano papo hapo. Ni sayansi ile ile wanayotumia wasusi kwenye nywele.

Wakati zambarau inafanya kazi kwa nje, mfumo maalum wa PAP+ unaondoa madoa yaliyojificha ndani kabisa. Teknolojia mbili zinazoshambulia madoa kwa njia tofauti, bila kutumia kemikali kali za peroxide.

Vipande (Strips) 21 za juu na 21 za chini. Vinatosha kabisa kubadilisha muonekano wako wote na kubakiwa na vingine vya kutumia baadaye.

Njia Ya Kisasa Ya Kung'arisha Nyumbani
Njia za zamani kliniki zinagharimu pesa nyingi sana, zinaleta maumivu makali, na zinachukua masaa. Purple Whitening Strips™ inakupa njia mbadala rahisi.

- Inafuta Madoa Sugu: Inaondoa uchafu wa kahawa, chai, na madoa yaliyojijenga kwa muda mrefu.
- Salama Kwa Fizi: Haina Peroxide 100%. Imetengenezwa kung'arisha vizuri huku ikilinda meno yako.
- Maajabu Ya Dakika 30: Inashika vizuri. Bandika, endelea na mambo yako kwa dakika 30, kisha zitoe.
Upo Tayari Kuboresha Muonekano Wako?
Ongea kwa ujasiri. Pata heshima bila kutumia nguvu. Fanya tabasamu lako kuwa silaha yako kubwa.
Agiza Purple Whitening Strips™ Leo
• Usafiri ni BURE Tanzania Nzima
• Lipa Ukipokea (Pay On Delivery)
• Matokeo Ya Uhakika 100%
